Mifumo Mingine ya Masharti ya Mdahalo Kwa maelezo ya mifumo mingine ya mdahalo, angalia hii ifuatayo: Masharti ya Sydney 2000 :http://worlddebating.blogspot.ru/2000/03/wudc-sydney-2000-rules.html Masharti ya Mdahalo Lincoln-Douglas: https://www.uiltexas.org/files/academics/speech/LDRulesProcedures.pdf Mdahalo wa Bunge la Uingereza :http://www.willamette.edu/cla/china_debate/doc/ReviewerOnlyFiles/Ch%2003%20BP%20DebateAsModelOfSocialAndEducationalDebate.docx Taasisi ya Mdahalo ya Shule za Kikatoliki:http://www.csda.nsw.edu.au/debatingRules.html Taasisi ya Ufasaha na Mdahalo ya Saskatchewan:http://www.saskdebate.com/media/32277/2013revisedgeneral%20rules%20of%20debate.pdf Kujifunza kuhusu Mdahalo http://www.learndebating.com/ ina kitabu ambacho unaweza kupakua kuhusu midahalo. Taasisi ya Wanamdahalo wa Monash inatoa Mwongozo wa bure wa Mdahalo- http://www.monashdebaters.com/downloads/Schools%20Training%20Guide.pdf MIT Kozi ya Mdahalo 101: http://courses.csail.mit.edu/6.141/spring2013/pub/lectures/Forum-7_Debate101.pdf Seti ya video za kufundisha mdahalo: https://www.youtube.com/channel/UCmx7Qc5fx1sglz8Gz5MFN3A Mafunzo ya mdahalo wa Toronto na mifano: https://www.youtube.com/channel/UCBNJPhtaO5a974DyFTRMByA Coursera kozi kuhusu majadiliano: https://www.coursera.org/learn/negotiation (Ya kibiashara) Sanaa ya Mdahalo, kutoka msururu wa Kozi Kubwa : https://www.thegreatcourses.com/courses/the-art-of-debate.html Mada za Mdahalo Kwa ajili ya mawazo ya mada za hotuba, na pia hoja za pande zote mbili za mada, angalia tovuti zifuatazo kuhusu midahalo: https://www.kialo.com https://www.procon.org http://www.debate.org/ https://idebate.org/ http://www.urbandebate.org http://www.parli.org/resolutions/ Pia, angalia orodha ya mada za mdahalo kutoka NY Times : https://learning.blogs.nytimes.com/2016/02/24/our-100-most-popular-student-questions-for-debate-and-persuasive-writing/ Orodha za mada 301 za uandishi wa majadiliano za NY Times: https://learning.blogs.nytimes.com/2015/02/05/301-prompts-for-argumentative-writing/ Mawazo 282 ya uandishi wa majadiliano: http://www.myspeechclass.com/ideas-for-argumentative-speech-topics.html Video za Mdahalo Kwa video za sampuli za midahalo ya mashirika mengine, unaweza kuangalia ifuatayo: Midahalo ya Munk - https://www.munkdebates.com/ Masuala ya Mdahalo - http://www.debatingmatters.com/resources/debatingmattersonfilm/ http://videos.apdaweb.org/ Rekodi za Mashindano ya Mdahalo wa Shule za Sekondari za Marekani - http://www.parli.org/resource/ Video za Mdahalo Mkuu -http://debate.uvm.edu/wudcvideo.html (sw,document.section.last.updated)? (sw,document.section.views)?