Unaweza kufanyia kazi njia zozote za juu kwa wakati mmoja na kuzifanya kwa mpangilio wowote. Unaweza kupumzika kwenye njia moja, na kuanza kufanyia kazi nyingine (au ukapumzika tu kwa ujumla) na kuirudia/kuzirudia baadae utakapokuwa tayari. Kigezo pekee ni kuwa vipengele kwenye kila njia lazima zikamilike kwa mpangilio.
Bila shaka, unaweza kurudia mradi mara nyingi upendavyo, na kiukweli, inapendekezwa kuwa usiendelee mbele kama haujaridhika na matokeo ya mradi uliopita. Haina maana kuwahi mbele ili upate tu beji au tuzo, Kumbuka kuwa lengo kuu ni kusoma, kufanya mazoezi, kujifunza, na kuwa tayari kwa "jukwaa kubwa". Lengo halitakiwi kuwa kukusanya beji. Hamna kikomo cha muda wa kumaliza njia maalum.
Jifunze ni jinsi gani hadithi zinavyoundwa, jinsi ya kutengeneza hadithi mpya, na jinsi ya kutumia kifanisi zana fanisi zaidi kwenye uandishi wa hotuba na ushawishi.
Wasilisha hotuba ambazo zinavutia, zinaburudisha na zinatoa mwangaza kwenye mada nzito sana.
Jifunze kushugulikia aina zote za kufeli na masuala yanayoweza kutokea wakati wa hotuba.
Kutoka kuwasilisha wazo lako mpaka kuongea na wawekezaji - jifunze namna ya kuwasiliana kama Mjasiriamali ili kuhakikisha biashara yako inafanikiwa
Kuzungumza kwa ajili ya mahojiano, redio, runinga na urushaji wa moja kwa moja kwenye mtandao.
Kila kitu kuhusiana na kuzungumza kwenye mazingira ya kibiashara - kutoka ripoti za msingi mpaka hotuba kuu za shirika.
Kutoka kutambua hoja za uwongo mpaka kuwa mshiriki wa mdahalo mkubwa - kufikiria kimantiki itakusaidia kitaaluma kuliko njia nyingine yoyote.
Kutoka kusoma mpaka kuigiza - chunguza vitu vyote vidogo vidogo vya utendaji wa maonyesho.
Jifunze kutengeneza hadithi zinazovutia kwa kuona kwa ajili ya dunia ya sasa.
Ucheshi hautoi tu mwanga kwenye suala lolote, lakini pia inaweza kugeuza vitu kwenye suala zito la kibiashara.
Endeleza ujuzi wako wa kibinafsi - kutoka kuzungumza na watu usiowajua mpaka kuunda mahusiano ya muda mrefu.
Jifunze kubuni na kusimamia miradi ili kupata matokeo yenye mafanikio.
Kuwa kiongozi mwenye mafanikio anayewahimiza wengine.
Jifunze kuwasiliana na vyombo vya habari, kuandika habari za kuwapa vyombo vya habari na kutangaza mawazo yako.
Jifunze kujadili na kutengeneza matokeo ya ushindi kwa wote ambayo yanamridhisha kila mtu anayehusika.
Jifunze kushawishi watu na kuwafanya watu wachukue vitendo.
Jifunze kuwasilisha hotuba za pokezi, uwasilishaji na nyingine nyingi maalum.
(sw,paths.advertising.help)?
(sw,paths.investigative.writing.help)?