Kushiriki ndani ya Agora ni rahisi, na ni bure!
- Unaweza kuhudhuria kama mgeni. Jisikie huru kutembelea klabu yoyote ya umma ya Agora Speakers ili uweze kuamua kama unapenda mfumo uliopo.
- Unaweza kujiandikisha kama mwanachama ili kuweza kupata mifumo yetu yote, maongezi ya hapohapo, jukwaa la majadiliano, zana za mtandaoni, na kwa ujumla kuwa na habari zote mpya kuhusu maendeleo ya Agora.
- Unaweza kujiunga na klabu…. au unaweza kujiunga na klabu nyingi utakazo. Angalia kipengele kuhusu "Kujiunga na klabu" ili uweze kujua jinsi ya kutafuta klabu kwenye eneo lako.
- Unaweza kuanzisha klabu!. Kuanzisha klabu ni rahisi, inaridhisha sana, na pia unaweza kuwa Balozi wa Agora Speakers wa nchi yako.
- Au... unaweza pia kutusaidia kwenye dhamira yetu.
(sw,document.section.last.updated)?
(sw,document.section.views)?